Q News

France strongly denounces atrocities committed by RSF in El-Fasher

(MENAFN) France has issued a strong condemnation of the ethnically driven atrocities reportedly committed by Sudan–s Rapid Support Forces (RSF) in the city of El-Fasher, demanding justice and an ...
menafn2025-11-04 06:49:58
Visit Source

Qatari Emir denounces atrocities committed by RSF, urges for truce

(MENAFN) Qatar–s Emir Sheikh Tamim bin Hamad Al Thani strongly condemned the atrocities carried out by Sudan–s paramilitary Rapid Support Forces (RSF) in El-Fasher, calling for an urgent political ...
menafn2025-11-04 06:47:53
Visit Source

Guinea’s coup leader enters presidential race

Two of Guinea's biggest opposition parties - RPG Arc en Ciel and UFDG - have been excluded from December's contest.
capitalfm2025-11-04 06:07:35
Visit Source

Blackout then gunshots and teargas: My brush with death in Tanzania

Election observer Lizzy Adundo Yogo’s recounts her nightmare in Dar es Salaam.
nation2025-11-04 06:05:41
Visit Source

UN Chief Urges End To 'Unimaginable Violence' In Sudan, Calls For Two-State Solution In Palestine

(MENAFN - The Peninsula)The Peninsula Doha, Qatar: The United Nation has called for a safe delivery of UN Humanitarian Aid to all civilians in need and an end to the flow of weapons and fighters ...
menafn2025-11-04 06:02:28
Visit Source

Matumaini upinzani utaungana Ruto akikaa ng’ang’ari

Kuna dalili kwamba upinzani nchini utaungana kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027, baada ya chama cha Democracy for Citizens Party (DCP) kuachia Democratic Action Party of Kenya (DAP–Kenya) nafasi ya kugombea ubunge katika uchaguzi mdogo wa Malava unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2025.Uamuzi huo ulitangazwa rasmi na Naibu Kiongozi wa DCP, Cleophas Malala, katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na maelfu ya wakazi wa Malava. Mkutano huo ulihudhuriwa pia na mgombea wa DCP, Edgar Busiega, ambaye alitangaza kujiondoa kwenye kinyang’anyiro na kumuunga mkono mgombea wa DAP–Kenya, Seth Panyako.“Tumekubaliana kwamba katika orodha ya uteuzi ya wabunge wa chama cha DCP, Edgar Busiega atakuwa wa kwanza kuteuliwa. Hii ni ishara ya heshima kwa wale wanaoweka maslahi ya umoja juu ya ubinafsi,” alisema Malala huku umati ukishangilia.Busiega, ambaye amekuwa akizunguka eneo la Malava akitafuta uungwaji mkono, alisema aliamua kujiondoa “kwa hiari kamili” ili kudumisha umoja wa upinzani na kuhakikisha kura hazigawanyiki. Hatua hiyo ilijiri baada ya kikao cha faragha kati ya Malala na aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, kilichoafikia umuhimu wa chama hicho kumpa nafasi Panyako.Seneta wa Kakamega, Boni Khalwale, alisifu hatua hiyo akisema, “Hongera kwa Team Busiega kwa kujiunga na ndoto kubwa na kusimama upande sahihi wa historia kwa kumuunga mkono Seth Panyako. Huu ndio mwelekeo sahihi wa upinzani — umoja badala ya ushindani wa ndani.”Khalwale, ambaye licha ya kuwa Seneta wa chama tawala cha UDA, amekuwa akimpigia debe Panyako wa DAP–Kenya, alisema kura za Malava ni kipimo cha umoja wa wapinzani dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza.Kwa wakati huu, Muungano wa Upinzani umeleta pamoja Gachagua wa DCP, Jubilee ya Uhuru Kenyatta ambayo imemteua aliyekuwa waziri wa usalama wa ndani Fred Matiang’i kuiwakilisha katika muungano huo, Martha Karua wa Peoples Liberation Party (PLP), Kalonzo Musyoka wa Wiper, DAP- Kenya ya Eugene Wamalwa na Democratic Party ya aliyekuwa waziri Justin Muturi.Wachanganuzi wa siasa wanasema hatua ya DCP ni ishara muhimu ya mabadiliko ya kimkakati. “Hii ni dalili ya ukomavu wa kisiasa. DCP inatambua kuwa kugawanyika kwa kura za upinzani kutachangia ushindi wa urahisi kwa Kenya Kwanza,” asema mchambuzi wa siasa, Hellen Njeri.Mfano wa Malava unafuata wa Mbeere Kaskazini, ambako DCP iliwahi kumuachia mgombea wa Democratic Party (DP) wa Justin Muturi, na hatua hiyo kufanikiwa kuimarisha ushirikiano wa vyama vya upinzani.Chama cha Jubilee ambacho kinasisitiza kingali katika Muungano wa Upinzani pia kiliunga mgombeaji wa DP katika Mbeere Kaskazini.Kwa sasa, Cleophas Malala anapanga mikutano mikubwa zaidi ya kampeni inayojumuisha vyama vya Muungano wa Upinzani, huku akitangaza kuwa Seth Panyako ndiye mgombea rasmi wa upinzani katika kinyang’anyiro hicho.Eugene Wamalwa, Kiongozi wa DAP–Kenya, alitaja hatua hiyo kuwa “ishara ya mwanzo wa Muungano wa Upinzani.” “Tukiacha kugawanyika, tutaonyesha Kenya nzima kuwa upinzani unaweza kufanya kazi pamoja kwa maslahi ya wananchi,” alisema.Lakini upande wa serikali unakejeli upinzani, ukisema utaibuka na ushindi ukisisitiza umoja wa vinara hauna nguvu.Hata hivyo, wachanganuzi wanaonya kuwa kauli kama hizo zinadhihirisha hofu ya Kenya Kwanza. “Kama vinara wapinzani wataendelea na mikakati ya kuachiana maeneo kulingana na nguvu za vyama, 2027 haitakuwa rahisi kwa serikali,” asema Dkt Daniel Wabwire, mchambuzi wa siasa za magharibi.Kwa sasa, hali ya kampeni Malava imepamba moto. Panyako wa DAP–Kenya atakabiliana na David Ndakwa wa UDA katika kinyang’anyiro kinachotazamiwa kuwa kipimo cha nguvu kati ya Kenya Kwanza na Muungano wa Upinzani.“Hatua ya DCP kuachia DAP–Kenya ni zaidi ya makubaliano ya kisiasa — ni ujumbe wa wazi kwamba upinzani umeanza kujifunza kutokana na makosa ya zamani. Ikiwa mikakati kama hii itaendelezwa kote nchini, huenda uchaguzi wa 2027 ukaleta changamoto kubwa kwa serikali ya sasa,” asema Njeri.Kwa sasa, asema, kuna dalili za matumaini kwamba vyama vya upinzani vinatambua umuhimu wa umoja.“Mfano mzuri ni ule ulioshuhudiwa katika Eneo Bunge la Mbeere Kaskazini, ambako chama cha Jubilee kilionyesha ukomavu wa kisiasa kwa kuachia mgombeaji wa DP, kuepusha mgawanyiko wa kura za upinzani. Uamuzi huo ulionyesha kwamba umoja ni silaha kuu dhidi ya mgawanyiko unaonufaisha Kenya Kwanza,” asema.Vyama vinaposhirikiana kwa nia moja, asemaWabwire, vinawapa wananchi matumaini kuwa kuna mwelekeo mpya wa kisiasa unaozingatia maslahi ya pamoja badala ya tamaa binafsi.“Hata hivyo, changamoto kuu inayokabili upinzani ni ile ile iliyoathiri miungano ya kisiasa nchini — usaliti, ubinafsi, na tamaa ya mamlaka. Mara nyingi, wanasiasa wamekuwa wakitumiwa na wapinzani wao wa kisiasa kama “fuko” za kudhoofisha umoja wa upinzani. Wengine hupewa nyadhifa, fedha, au ahadi za vyeo serikalini ili kuvuruga mikakati ya kisiasa ya upinzani. Tabia hii ya usaliti imekuwa kama saratani inayoharibu misingi ya demokrasia ya kweli,” asema WabwireAnasema kile kinachohitajika sasa ni umoja wa dhati unaozingatia maslahi ya wananchi, si makubaliano ya muda mfupi ya kisiasa.
taifaleo_nation_ke2025-11-04 06:00:47
Visit Source

KCSE Candidate Arrested Over Spate of Break-ins in Nyakach

The Form Four student at Ramula Odowa Secondary School, was arrested at the school following a detailed police investigation.
capitalfm2025-11-04 05:58:13
Visit Source

Plongée dans l’écosystème culture émergent de Niger

Dans une ruelle poussiéreuse de Niamey, entre les murs ocres d’un ancien entrepôt transformé en galerie, des jeunes s’affairent autour d’une installation faite de ferraille, de tissus recyclés et de lumière tamisée. La musique s’échappe d’un vieux haut-parleur, mêlant rythmes traditionnels haoussa et beats électroniques. Ici, dans l’un des pays les plus méconnus d’Afrique de [...]L’article Plongée dans l’écosystème culture émergent de Niger est apparu en premier sur Les Afriques.
lesafriques2025-11-04 05:55:00
Visit Source

HK urged to advance nation’s strength, self-reliance

Lau Siu-kai, consultant and former vice-president of the Chinese Association of Hong Kong and Macao Studies, called on the HKSAR government to adopt a more proactive and purposeful role, particularly in driving industrial transformation, to better support the country's future development.
capitalfm2025-11-04 05:52:24
Visit Source

Safari en Tanzanie : les animaux emblématiques à observer lors d’une aventure africaine

Rien que d’évoquer un safari en Tanzanie, il est difficile de ne pas ressentir une vive excitation tant ce pays offre une immersion unique au cœur de la faune sauvage. La Tanzanie séduit par ses paysages spectaculaires et abrite l’un des plus vastes écosystèmes du continent africain. Entre le mythique Serengeti, le fascinant cratère du [...]L’article Safari en Tanzanie : les animaux emblématiques à observer lors d’une aventure africaine est apparu en premier sur Les Afriques.
lesafriques2025-11-04 05:50:34
Visit Source
No news available.